Monday, April 13, 2020

NEEMA ULIOPEWA SI BURE

Kupata zawadi/Neema ya kuokoka si mwisho, mpaka ukarizika. Hapana Fanya jambo kwa Yesu, zaa matunda , weka jambo katika dunia.

 Ili hiyo Neema uliopewa  isiwe ya Bure, kumbuka  mavuno ni mengi ,watenda kazi wachache
👉 1wakoritho 15: 10

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...