Friday, June 17, 2022

UTUKUFU WAKE YESU

Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.
2 Pet 3:18 

Tukue  na Tufanikiwe kwenye
 1. Ndani ya Neema
2. Katikati ya kujifunza kumjua Mungu

Kwanini tukue na tufanikiwe

Kwa sababu  Yesu anao utukufu 

Kama tukiongezeka na kufanikiwa basi tutapata utukufu wake.

Utukufu maana yake ni uwepo wa Mungu katikati ya maisha yako.

Amen

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...