Wednesday, November 30, 2016

RAFIKI YESU

Jinsi unavyozidi kukaa kalibu Na Yesu. Ndivyo unavyozidi kutengeneza uhusiano wako Na yeye...
Kwa maana katika siku za ziki au shida . hata kuacha uaibike ..maana ulikaza kumpenda.
Atakuondolea aibu yako. Maana anawajua kondoo zake.
  Zidi kumtii na kumpenda Yesu atakuinua utukufu hadi utukufu...
MWAMBIE AKUFANYE UWE RAFIKI......

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...