Friday, June 23, 2017

KUINULIWA NA BWANA

Image result for bible



ZABURI 30;1
1 Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua,Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
Image result for bibleMwimba zaburi ana mwambia Mungu  kuwa atamtukuza Mungu kwa kuwa alimuinua... Pia anaongezea kuwa licha ya kuinuliwa Mungu aliwanyima furaha adui wa huyu muimba zaburi... Kwahiyo atamtukuza Bwana...

OK tutazame maisha ya sasa.... Ni vingapi Mungu amekufanyia katika maisha yako? Tena amekuongezea baraka... Ambazo unajua hukustahili kupata ila ni neema tu. Na hii neema ninayo ongelea ni FAVOR.. Yaani hukustahili kutokana na tabia... Au hali ya uchumi... Au.... Kipato chako......

Watu wengi Mungu huwainua kwa sababu maalumu... Lakini hawawezi kusema asante kwa Mungu... Pia wanajitamba  kusema nakili zao na ujanja... LAKINI kumbe Mungu amewarahishia maisha ili waweze kumtumikia Mungu..... Kutenda mema.... Kurudisha asante....
Mungu wetu ni mwaminifu... Kwa kuwa yeye ni Baba tukiomba kitu anatupa double double...... Kwa maana anatupenda.... Mwimba zaburi aliiniliwa pia adui zake wakanyimwa furaha....
Ukiendelea mstari wa pili

Anasema   EE BWANA, MUNGU WANGU NALIKULILIA UKANIPONYA...
kwahiyo huyu jamaa aliomba sana... Tena kwa kulia Mungu akampa double portion... Mara mbili....
Biblia inasema KUOMBA KWA mwenye HAKI KWA FAA KUOMBA KWA BIDII....
inabidi Tuombe ili tupewe zaidi ya kitu tulicho kuiomba... Tena tukijibiwa.... Mtukuze Mungu...
Kuna aina nyingi za kumtukuza Mungu..... Kwa kutoa sadaka.. Kuhubiri habari zake njema..... Kuimba ukuuwake....... Kusema asante.... Kusaidia wasio jiweza.. Nk.

    

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...