Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Luka 1 : 28 _30
Shalom,
Biblia inasema Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni...
Kuna wakati ukienda mbele za Mungu unajikuta kuwa na hofu sana.
Na kuna wakati hata kama ujaenda mbele za Mungu unajihisi hofu mpaka unajikuta unaomba toba. Ukiona hali hiyo jua kuwa....
Utukufu wa Mungu umekuzukia na Roho mtakatifu anataka kusema na wewe, anataka kukupasha habari....
No comments:
Post a Comment