Tuesday, December 28, 2021

MUUNGANIKO WA KIROHO KATI YA MAMA NA KIJANA...

 

Yh 19:26 -27

Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao.

 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama, mama yako.

 Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake.

 Mifano ya kwenye biblia_ 

- Yesu na mama yake
-Yabesi na mama yake
- samweli na mama yake
- Sarah na isaka



1 wafalme 4 : 10
Tukimsoma Yabesi alipewa jina kutokana na   hali ya uzuni iliyotokea kwa  mama ake . Ndipo akampa jina lake Yabesi

- Hapa tunakumbushwa kuna connection ya kiroho katika ya mama na mwana ambayo ilimhathiri mtoto

2. Pia tukimsoma  hannah jinsi ya kumpata samweli  tunaona kuwa  hakumpata kwa jinsi ya kawaida bali alikaa vizuri kiroho na Bwana akampatia Mtoto ambaye alikuwa nabii.....

3. Kuhusu isaka na sarah tunaona kuwa  Tumbo la wana wa Mungu huzaa wafalme..... kwaiyo Tunaitaji sana  kuwaombea binti zetu  ili Mungu aweze Kuweka wafalme ndani yao.

Tujifunze 

.Mzazi /Mama kuwaombea vijana wao mpaka kusudi la Mungu lijengeke ndani yao 

.Kuna baraka unapowakumbuka wazazi 

.Mungu hutumia wazazi kuwa baraka. Haijalishi kazeeka , au hajaokoka lakini kwa kuwa alikutunza still bado kuna connection ya rohoni.

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...