UTATU mtakatifu unaupendo ambao hauelezeki kimwili yaani Mungu anampenda kristo na Kristo anampenda Mungu,Mungu anampenda Roho na Roho anampenda Mungu ,vilevile Kristo anampenda Roho na Roho anampenda Kristo . Kwaiyo tunapata duara ambalo upendo hauvunjiki wala kupungua ... Lakini kwa mwanadamu hakiwezekani kwa sababu Adamu alishindwa
katika yohana 4:4-19 .inamuongelea mwanamke msamaria ambae ndani yake alikuwa anaugua na upendo wa wanadamu...twende pamoja
kwa wanadamu upendo unatofautiana wao huwa ni horizontal love na kwa Mungu alie hai huwa ni vetrical love, upendo wa Mungu huzidi kila itwapi leo. yesu alisema nila yangu ni laini tena akasema ntawapa raha nafsini mwenu,kwaiyo ukiwa katika vetrical love nafsi yako inapata raha .
. yule mwanamke msamalia alikuwa na waume 5 na wa sita alikuwa si mumewe bali kimada ..haya yote alikuwa anatafuta upendo
lakini alipokutana na Yesu alimwambia "KILA ANYWAYE MAJI HAYA HATAONA KIU TENA." akimaanisha kila ataenwamini na kumfuata Yesu njia zake hato zaraulika na kupungukiwa na amani-upendo. ndani ya maisha yake. maana Yesu ndiye mwenye ufunguo wa Daudi. akifungua baraka maishani mwako hakuna hakuna awezae kuzuia. na akifungua upendo ndani yako hakuna awezae haribu.
mkiri yeye. na mtii yeye maana anakupenda
SHALOM.......
Asante sana Jacob Bwana akupe Hekima na ufunuo zaidi kumtumikia kwa usafi na utauwa wote
ReplyDelete