Tuesday, November 16, 2021

MAOMBI YAKO YALIYOCHELEWA KUJIBIWA


Daniel 10:13 

Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi.

Katika mistari hii tunapata kuona kazi za malaika 

Kwa uelewa wangu wapo malaika wa aina nyingi baadhi ninao wajua ni
1. Malaika wa vita
2. Malaika wapeleka ujumbe wa amani
N.k

Hapa tunaona malaika wa vita na malaika mpeleka ujumbe wa amani. Ambao pia tunawaona kwa mariamu magdalena (luka 1 :26_45) na kitabu cha yuda ( yuda 1:9)

Katika kitabu cha Daniel. Tunaona malaika alikuja kuleta majibu ya maombi Daniel lakini katika ulimwengu wa kiroho ufalme wa uajemi walizuia maombi hayo .

Hapa tunapata kitu kwamba kuna vitu . Kuna aina ya maombi ambayo tunatakiwa kujifunza ili kuharibu mipango ya wafalme wa anga ambao wanazuia maombi yetu yasijibiwe.

Daniel alikuwa ameokoka lakini maombi yake yalizuiliwa.

Lakini kuna maombi ambayo tunaweza kuomba mbingu zikafunguka na kupata majibu 

Yamkini ugonjwa, kupata kazi, kupata amani, uchumi wako kukua.

Kuna funguo za kupata majibu yako . Kama

Tafuta vifungu vya biblia vinavyo husika na ufunguo.. 
Mfano ufunuo 3 :7

1 comment:

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...