Kol 4:5-6
Mtume paulo anatukumbusha kuhusu kuishi kwa jinsi gani sisi tulio katika imani Yetu.
Mtume paulo anasema kuwa tuenende kwa hekima . Lakini mbele anaongezea kuwa mbele yao walio nje.
Hekima ni nini.
Ni maisha ya kuishi kwa busara na unyenyekevu na kuto vunja sheria unaopelekea kumpendeza jirani yako na Mungu pia.
Hekima hupelekea amani,
Hekima huleta furaha
Mtume paulo aliposema tuenende kwa hekima alitaka tuwe watu wanaopeleka amani sehemu .
Kwaiyo sisi tuliokoka tunaitaji sana tuwe na hekima ili jina la Yesu lisitukanwe. Na pia tunaenenda kwa hekima mbele za watu tutawavuta watu waje kwa Yesu
Naweza sema kuwa tunapo enenda kwa hekima tunakuwa tunafanya uinjilishaji .
Kwa sababu pale tunaoonyesha matendo yetu mema watatamani wajue sisi ni wakina nani na tumetokea wapi. Wakijua tutakuwa tumemuinua Yesu juu.
Maisha ya Yesu Kristo yalikuwa ni ya hekima. Tuone maisha yake
1. Alikaa na wenye zambi
2. Aliponya na hakutaka kujulikana
3. Aliunganisha jamii na jamii (mwanamke msamaria)
4. Alikubali kusikiliza watu. (Mwanamke na makombo)
5. Alifundisha kwa mifano
Hii ni mifano ya Yesu alipotembea kwa hekima.
PART 2. Continue.....
No comments:
Post a Comment