Watu wana mkubali sana apostle paulo . Hata mimi namkubali. Ila kuna mwamba mmoja anaitwa apostle john The revelator.
Huyu mwamba kipindi wanafunzi wa Bwana Yesu wamemkimbia Yesu Kristo. Yeye alibaki na kusema kama kufa nitakufa nae. Hakutoka pale chini ya msalaba till End.
Ndiye mwanafunzi wa Yesu ambaye kifo chake hakikuwa cha kikatili,
Injili alizoandika zote zilikuwa zakuonyesha Upendo wa Yesu.
He is the Lover Man
Alikuwa ndo mtume mdogo kuliko wote.
Na ndiye aliishi miaka mingi.....
Mitume wangekuwa katika watoto wa Yakobo basi ningemfananisha na Benjamin
Maana alikuwa madogo kuliko wote na alipata vitu vingi katika mgao wa zawadi za Yusuph.Alikuwa kipofu lakini aliona yaliyo sirini...
Aliandika akasema Yesu ndiye Alpha & omega
No comments:
Post a Comment