Saturday, November 18, 2023

CHINI YA UONGOZI WAKE

‭‭2 Sam‬ ‭22:34‬ ‭
[34]  Huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu; Na kunisimamisha mahali pangu pa juu.

Kuna faida kubwa sana kuwa under control na Mungu, kwasababu yeye ndo muumbaji na anajua mwisho na mwanzo wa maisha yako. Japo unaonekana ni mtu wa kawaida sana lakini jua Mungu anakutengeneza njia ya kufikia destiny yako.  

Ili uweze kufika destiny yako. Inabidi upite kwenye training tofauti tofauti  , na utakapo kuwa imara kwenye changamoto.  Mungu ataruhusu uingie kwenye pumziko ambapo ... 

Changamoto zikikufikia hauta tikisika, 
Endelea kukaa chini ya maongozo ya Mungu na ipo siku utafikia  kwemye top ya mlima unaopanda.

Yamkini mlima wako ni ndoa yako, masomo, kazi, uchumi, au mahusiano...  mpe awe kiongozi wako , ingia kwenye darasani lake, kubali maonyo yake.  Nawe utakuja kuwa  Daudi....

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...