Tuesday, September 2, 2025

SAFARI YAKO BADO NDEFU


1 Wafalme 19:7
[7] Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
English version 
1 Kings 19:7 NIV
[7] The angel of the Lord came back a second time and touched him and said, “Get up and eat, for the journey is too much for you.”

Utangulizi 
Upendo wa Mungu ni mkubwa kwetu, inapeleka kutuhimiza kusoma neno lake sana. 
Hatusomi neno kwa sababu  ni menyu yetu ya maisha, bali tunalisoma kwa sababu safari yetu ni ndefu na ni kubwa mno...

When God say eat, ana maanisha kuwa kila siku unatakiwa ujiandae kwa shughuli zijazo , word of God sometimes linakuja kama wazo au taarifa...., there is information you need to meditate (eat) ili uweze kufanya decision in your future journey.

1.Wazo
So sometimes Gods use sound minds to tells us about future, unakuta mara nyingi kitu kinajirudia rudia akili. Tambua hapo Mungu anasema na wewe kuwa hilo wazo lichambue au likatekate  (meaditation), litafune, mpaka upate strategies ...., 
Tunajua kuwa chakula kikiwa kwenye kinywa lazima tutafune, na lengo  la kutafuna ni kusaidia mmeng'enyo wa chakula uwe kwa urahisi, kwaiyo tunapo chambua wazo la Mungu ndo tunapata urahisi wa kufanikisha safari  yetu ya maisha.

So Mungu ameweka safari ndefu ya maisha katika mikono yetu ameweka utajiri, nguvu, hekima lakini , sisi wenyewe ndo huwa tunataka tusikifike nchi ya ahadi kwasababu  hatuna maarifa mengi....
Biblia inasema kwenye kitabu cha daniel  ( daniel 9)
[2] katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, mimi Danieli, kwa kuvisoma vitabu, nilifahamu hesabu ya miaka, ambayo neno la BWANA lilimjia Yeremia nabii, ya kuutimiza ukiwa wa Yerusalemu, yaani, miaka sabini.....

Daniel kwa kuvisoma vitabu alifahamu hesabu ya miaka/siku za kukaa utumwani kwaiyo alijua na aliweza kufanya maamuzi ambayo yaliwasaidia wana wa Israel kurudi katika nchi yao.

 Hii inatuhimiza kuwa katika  mafanikio ambayo unayataka  yapo kwenye (vitabu) mawazo ya watu yaliyo kwenye karatasi, 

Ni juhudi zetu kama wana wa Mungu kusoma na kuchambua ili tupate kufanikiwa kwenye mambo yetu. 

Mfano unataka kuwa mfanyabiashara,  kuna hekima nyingi ambazo watumishi wa Mungu kupitia sauti ya Mungu wameweka kwenye vitabu... so ni wewe ndiye unatakiwa kuongeza juhudi za kujifunza

To be continue......

No comments:

Post a Comment

Makala nyingine

IMPORTANCE OF OUR TESTIMONIES IN THE CHURCH

Mathayo 8:1-4 Naye aliposhuka mlimani, makutano mengi walimfuata.  Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, u...